Help, personal hotspots menu

newMbishi

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Wadau naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya kurudisha menu ya personal hotspot kwenye iphone 5. Imepotea baada yakumuachia mwanagu simu.

Thanks
 
uki update haikai hapo tena

umeone hapo chini kwenye general click hapo utaikuta kwenye cellular
 
uki update haikai hapo tena

umeone hapo chini kwenye general click hapo utaikuta kwenye cellular

Asante mkuu !Natumia version 7.1 na before ilkua ipo kwnye hii interface ya juu. Niko sehem yenye poor coverage ya network. Hakuna njia nyingine zaid ya kuupdate version?
 
Asante mkuu !Natumia version 7.1 na before ilkua ipo kwnye hii interface ya juu. Niko sehem yenye poor coverage ya network. Hakuna njia nyingine zaid ya kuupdate version?

simaanishi ufanye update namaanisha ulivyoupdate kuja 7.1 imehama sasa hivi ipo kwenye general halafu cellular
 
Kwenye general sijaona cellular.

Izo tu ndizo znazoonekana kwny general
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…