Help : mwnye software ya hotfix for windows 7 anipe link, na kusolve error c0000017 during win7 installation

Joined
Dec 14, 2015
Posts
12
Reaction score
14
Nshaumiza kichwa 4 some days na hii error c00000017 during installation mpk ikanibid niinstall Ubuntu ndo ikakubali lakin bado nahitaj kuinstalll windows na iyo error ni kikwazo so mwenye useful idea/Solution Plz share
 
Unatumia cd au usb flash? Umejaribu windows 10 ikagoma?
 
Nshaumiza kichwa 4 some days na hii error c00000017 during installation mpk ikanibid niinstall Ubuntu ndo ikakubali lakin bado nahitaj kuinstalll windows na iyo error ni kikwazo so mwenye useful idea/Solution Plz share
-Jaribu kubadilisha HDD ya hiyo Pc
-au i format kabisa hiyo hdd
alternative Install windows kama virtual machine kwenye hiyo linux download-
virtual box for linux then install windows on it Linux_Downloads – Oracle VM VirtualBox
 
Back
Top Bottom