HELP: Laptop aina ya DELL inaturn off Display baada ya mda mfupi.

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,832
Reaction score
5,309
Habari zenu Wadau,

Natumia machine aina ya DELL Vostro, napata tatizo baada ya ku-login to windows inakaa kwa dk1 tu halafu ina-turnoff display, inaendelea kuwa ON. Nimejaribu kuongeza brightness lakini haijawa sawa, pia kwenye ile option ya ya ku-set wakati gani display ijizime iko sawa. Naomba msaada tatizo nini Wakuu?
 
Ni display inapo turn-off au computer system yoyote?
Inapo turn-off uki press button yoyote inawaka au haiwaki?

N.B
Nadhani itakuwa setting za dim display, nenda kulekule ktk setting za mwanga ktk option ya dim display chagua Never.
 
System inawaka mpaka naingia kwenye windows, hapo inakaa dakika display inazima, ila system inaendelea ku-run
 
Habari zenu Wadau,

Natumia machine aina ya DELL Vostro, napata tatizo baada ya ku-login to windows inakaa kwa dk1 tu halafu ina-turnoff display, inaendelea kuwa ON. Nimejaribu kuongeza brightness lakini haijawa sawa, pia kwenye ile option ya ya ku-set wakati gani display ijizime iko sawa. Naomba msaada tatizo nini Wakuu?

Go to Control panel>system and security>Power option>Change when the computer sleep(chagua muda unaotaka ukipenda join my setting as shown on the attachment)

APTsjMyyqpKqlvAwCZWp0zfcDOcAAAAABJRU5ErkJggg==
 
Attachments

Back
Top Bottom