Salamu kwenu.
Nimeshindwa ku-connect simu(smartphone Android) kwenye Laptop ili ku-transfer files. Kila nikijaribu haisomi badala yake inaishia kuingiza charge tu.
Naomba mnisaidie nini tatizo maana siku za nyuma ilikuwa ina-connect bila tatizo.
Hiyo cable itakuwa imekufa,mara nyingi cable ikianza kufa au ikiwa sio original ndio simu inaleta style hzo,mimi pia nishawahi kutokewa na suala hlo mara kadhaa,nikibadilisha cable inakubali