gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 55
Hata ukienda kwenye device manager unaikuta kwenye list of hard drives tatizo linakuja siwez kuiacess. Naomba msaada wenu wakuu!
tatzo ni kwamba haionekan kabsa,hata kwenye list of devices huion,unaxia 2 kale kamlio unapokonect a device
imeingia VIRUSI tu...... na mwisho wake itabidi uifomati tu na utafuta kila kitu!!!!
mie najua nilishawahi shuhudia incidence kama hiyo, na mwisho w cku nikuwa hiyo external drive ilikuwa ni VIRUS tu! Na virus si unajua wapo wa kila aina....Mwisho wake utaishia kui-reformat tu! Mie natumia MAC laptop, si unajua jinsi Mac computers huwa hazisumbuliwi na virus wa PC, basi mie naweza kufungua external drive zlizoshambuliwa na virus wa PC bila shida. Kwahiyo NYANGIEZ jaribu kuifungua hiyo xternal drive kwenye MAC NA unaweza ku-restore ma-file yako!