Guys nliona nisiwe mvivu....nimegoogle sana and nimepata solution...tayari nishairoot pamoja na ku-upgrade Android Version to ICS 4.0.3 kutoka 2.3.6 Gingerbread now ipo cool mbaya....there are procedures to be followed, hizo Z4ROOT na One Click root huwa zinazngu