Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
Habari za leo,
naombeni mnisaide kujua ni jinsi gani naweza kuupload multiple files (yani nikimaanisha wakati nabrowse file ili niupload niwe nauwezo wa kuselect more than one file) with different extensions in php. alafu baada ya kuupload automatically hayo mafile yaweze kuangaliwa type na kujua kuwa kama ni video basi iwe stored in video folder kwenye server na kama ni image iende kwenye location nyingine.
je inawezekana folder kuwa created automatically pale mtu anapokuwa anaupload files. mfano naupload video 3 zinazohusu php, inawezekana hizi video zikakwa uploaded in video folder but new folder iwe created with a name just for these three videos?
pia ningependa kujua ni jinsi gani naweza kulimit file types za aina fulani tundo ziwe zinakuwa uploaded and how to limit the total size of uploads.