Hakuna software ya moja kwa moja ila nyingi wanaweka password nyingi tofauti tofauti alafu yenyewe inakiwa inajaribu kuingiza password kwa hiyo wifi. Ila ukibahatika kupata machine moja ambayo ipo connected na hiyo wifi network basi hapo software zipo zitakuonyesha.