naomba anayejua anisaidie jinsi ya ku root simu ya ideos google?
nkgoogle z4root napata apps kama superuser, titanium backup root, root checker sasa ipi ya kuinstal maana znakuja nyngi
nimefanikiwa ku root. sasa ishu ni kwamba nita free space i,e kuhamisha apps kwenda SD, maana niliambiwa nikiroot ntaweza sasa bado sielewi jins ya kuhamisha
nenda play store download app inayoitwa App2SD kisha malizia kazi
bado hakuna hata apps inayokubali tena downloaded apps
kwanza unataka kuhamisha apps zipi?? maana kuna apps hata zikiwa downloaded haziwezi hamishika kwenda kwenye SD.
Jaribu app iitwayo Android Assistant hii app ina features nyingi uki fungua subiri sekunde chache kisha click top right corner pottery kisha chagua app2sd subiri i load then maliza kazi kwa ku click app then ita fungua details panel wewe chagua move to sd kama hiyo option iko active, option ya move to sd utaipata bottom right of the details panel.
kwa kuanza hamisha games hizi ni lazima zitakubali
usi sahau kuleta feedback
mkuu ningeshukuru kama ungenipatia maelezo kuhusu kuroot na je itafaa kwa galaxy mini?
Does the same method of rooting work for Samsung galaxy s2 gt-19100G??
Any help on how to root it??rooting Galaxy S2 it uses a different method from that of Ideos
Any help on how to root it??