Habari ya kazi wadau. mimi kuna software moja ya kumanage website inaitwa webmin. inafanya kazi kwenye linux environment sasa nataka nitumie kwenye window environment.. shida ni kama ifuatavyo
kwa jinsi ya kuinstall webmin yenyewe.. maana ni mtihani

whenever Nikiitaji kwenye Linux huwa natumia Website yao,wameweka maelezo kwa distro zote za linux
kwa windows pia naona wameweka maelezo na Installer yake Webmin
but na mimi ni mhanga wa webmin.. sasa ukifuatilia installation guides za kwenye window unakuta zipo outdates and does not support some proxy server. sijui mkuu unanisaidiaje?? @Njunwa WamavokoNjunwa Wamavoko

ziko outdated ki vipi?
si uchukue kwenye developers website
Afu kwani Webmin si inayo web interface na ni HTTPS site hivo tafuta proxy inayofungua HTTPS site au yenye ku permeat connection to default webmin port 10000
kama una mashaka zaidi badilisha webmin port kuja zile common ports ambazo ziko permeated ktk proxy configurations