heshima mbele wakuu.
nilikua najaribu ku restore window iliyokuwepo mwanzoni kwenye DELL D270 kwa kutumia Acer eRecovery Management but restore system kila ikifika kwenye 99% ina stuck kwa mda wa masaa karibu 6 nikajaribu kuizima lakini kila nikiwasha ina niletea tena pop ya hiyo acer erecovery management na inakuja na option zile zile za;
SELECT RESTORE TYPE na pia kuna EXIT, nikijaribu kuselect EXIT computer ina restart na kurudia tena hiyo pop up.so nilikua na hitaji msaada wenu wakuu kuweza ku esc hii ishu. pia kama itawezekana ku instal window kwa kutumia USB flash drive (setup za window 7 ninazo kwenye flash ila nikichomeka kwenye hiyo pc hai run automatic kama CD). Natanguliza shukurani.