Help a sister over here

Ngoja nikiwambia mpendwa wangu, wala sio tatizo ila hapa duniani watu tumeumbwa tofauti tofuati, na wa jinsi hiyo yako tupo, mimi niko kama wewe ni mtu wa peke yangu peke yangu tu hata marafiki huwa sipendi kuwa nao zaidi ya wawili manake sipendi kuwa na mzunguko wa watu weeengi huwa nahisi kero, na mtu kunizoea mimi ni lazma anielewe kwanza usiponielewa utasema najisikia, sina ukaribu hata na ndugu zangu labda wale wa tumbo moja tu, hapa ofisini kila siku nipo kama mgeni huko mtaani ndo kabisaaa sema tu nashukuru mtaa nnaoishi ni kila mtu ndani ya geti lake kwahiyo hakuna wa kuni jaji, hata huyu mume nilienae ni Mungu tu aliniletea manake kwa nnavyoishi ingekuwa ngumu, hata huko kwa ndugu wa mume nako kila siku nipo kama mgeni ila nashukuru wamenielewa na wananichulia kama nilivyo, kwahiyo jikubali, jipende na acha wengine pia wakukubali the way ulivyo, zamani nilikuwa nahisi kama wewe kwamba labda nna tatizo lakini kadri nikijaribu kuwa kama watu wengine nashindwa vibaya mno nakuwa kama najitesa, mwisho wa siku nikasema hivi ndivyo nilivyo cha msingi simchukii mtu wala simdharau mtu
 
mrsleo

Hiyo sio sifa,ni tatizo na unatakiwa kumuona daktari au mtaalam wa masuala ya afya.

Hilo tatizo linatokana na mazingira uliokulia hayakua favourable kwako na ukawa victimized au genes inheritance. Kwa hiyo ni tatizo,litaitwa Schizoid Personal Disorder.

Usijisifu kwamba umeumbwa hivyo,ni tatizo na linapona ukipata tiba.
 
Last edited by a moderator:
Princess Somali

sijajua rasmi wataalam wa matatizo hayo hapa dar wanapatkana hospitali gani. Nadhani hizi hospitali za binafsi zinaweza kua na wataalam. Jaribu kwenda kuulizia.
 
Last edited by a moderator:
Princess Somali

How old are you? They are problems that are associated with age. Niambie umri nikuambia shida yako na solution yake.
 
Last edited by a moderator:
Kichwa Ndio Mtu
Nimelelewa kwenye mazingira mazuri sana ya baba na mama, sikuwahi kunyanyaswa wala cjui kunyanyasika, ndivyo nilivyo toka mtoto nilikuwa nalazimishwa kucheza na wenzangu lakini mara nyingi nilikuwa mtu wa kupenda kukaa ndani tu, na sijasema ni sifa au sijaongea kwa kujisifia ila nimeelezea vile nilivyo, elewa kwamba binadamu tumeumbwa tofauti hatufanani, ukiona mtu hafanani na wewe kitabia haimaanisha ni kilema
 
Last edited by a moderator:
Princess Somali

Uko Dar? Seriously? Then tatizo lako linaisha hata mwezi hauishi... Mi nilikuwa nadhani uko "nchi za watu" ambako kusocialize ni ngumu...

Kama unataka kupona fanya yafuatayo

1. Jizoeshe kwenda maeneo ya starehe hata kama huendi kuongea na watu... I mean nenda baa, club nk. Kama haunywi pombe nenda uwe unakunywa soft drinks ingawa itakuwa ngumu kidogo. Kama unadhani unaweza (najua unaweza, maana ni dawa), anza kunywa pombe. Uwe unanywea nyumbani kisha ukishaizoea uwe unaenda kunywea bar...

2. Usifikiri kwenda kustorisha na watu. Ila mtu akitaka kustorisha na wewe usimzuie, wala usijizuie. Sema kile unachoweza, kama huna cha kusema kaa kimya... Utakuwa victim wa kutongozwa, but jitahidi usiwe victim wa kubakwa. I mean usitembee maeneo hatarishi wakati wa usiku...

Fanya haya kwa kama miezi 3 hadi 6 then utagundua mabadiliko makubwa sana katika maisha yako.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo unajifanya unajua sana hata jinsi ulivyoiandika hiyo mada inajieleza ulivyo
 

Nimekwambia chanzo kinaweza kua mazingira,au makuzi na urithi. Au nikuulize swali,sina maana ya kukutukana tafadhali,nataka tu kujua,je una tabia ya kutamani vitu vya watu au wizi mdogo mdogo?yaani shuleni kwa mfano ulikua unaiba penseli,ufutio au kalam za wenzako au ukiviokota hutoi taarifa na unaficha?
 

sasa makuzi yangu yalikuwa mazuri nimelelewa kwenye upendo, wazazi wangu ni watu wa watu sana maana kwetu wageni huwa hawakauki kwahiyo sijamrithi yoyote katika wazazi wangu na sina na sijawahi kuwa na tabia ya kuiba ya kupenda vya watu, ur point?
 
Hahahahaaa! Mkuu kurithi haina maana unatoa kwa baba au mama moja kwa moja,labda babu yake na baba yako alikua hivyo?
sasa makuzi yangu yalikuwa mazuri nimelelewa kwenye upendo, wazazi wangu ni watu wa watu sana maana kwetu wageni huwa hawakauki kwahiyo sijamrithi yoyote katika wazazi wangu na sina na sijawahi kuwa na tabia ya kuiba ya kupenda vya watu, ur point?
 
Princess Somali
vululuvululu!.... neither English is your language; whether first or otherwise take note to red marks and go on tuition please!
Backk to your concern uko free kuniambia lini uli-attendiwa na mpenzi wako ukaridhika?
 
Last edited by a moderator:

Haiwezekani watu WOOOOOTEEEE wakaumbwa na same attitude
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…