Hellow

Ba Oasis

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Habar wadau. Nimeingia humu nikiamini kua wenyeji wote ni wazalendo wanaoipenda Tanzania na wako tayar kwa lolote ikiwa ni la lazima kuhakikisha nchi yetu inaenda sawa. Shida zinazotokana na kudidimia kwa hali ya maisha yetu ukilinganisha na rasilimali za nchi zinatakiwa ziwe kiuongo kwetu kama watanzania bila kujali dini,kabila rangi etc. Mwizi wa rasilimali zetu awe adui yetu na tupambane nae kwa nguvu zote hata kama ni mjomba au mkwe wetu,kigezo ni maslah ya Taifa. Tanzania ni ya thaman sana kuachwa mikonon mwa wachache...sote tuipiganie kwa nguvu zoote mpaka ikae sawa. Sababu ya kuingia humu ni kuwaunga mkono woote wenye kupenda mabadiliko chanya..naamin nimekuja sehem sahihi.
 

Karibu sana jamvini, mchango wako utaheshimiwa
 
karibu sana mkuu. Pita moja kwa moja chumba cha katikati kulia kwako kimeandikwa jukwaa la siasa uatatukuta tupo Arumeru tunaserebuka na ushindi wa CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…