Hellow!!,, its Nicky kuna dada 1 nampenda

Angalia usije kupata division 6 unafanya nn huku wewe mtoto
 
​Soma kwanza mambo mengine badae
 
Na fomu zote hizo bado akili ni kiduuuuchu hivyo?
 
baada ya miaka miwili utajisshangaa ulikuwa una matatizo ganii??
 
Mitandao ya wat wenye heshima zao utoto huo hatuitaji kabisa ndo unavyofundishwa na ma ticha sio????????????????naongea na wewe?
 
Usijaribu watu wazima, vijana siku hizi hamchelewi kujitwalia. Ha ha ha ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…