Single The Loner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 805
- 1,355
Mimi ni mgeni humu nimefika mwaka juzi naomba mnipokee.
Karibu sana JF mgeni mwenyejiMimi ni mgeni humu nimefika mwaka juzi naomba mnipokee.
Nilisahau kusema "hodi" mkuu, sasa ndo nimejigundua sikua mstaarab, ahsante sana kwa ukaribisho.Mgeni wa mwaka juzi? haya karibu
Mzee nashukuru sana kwa kunikaribisha, kwa hadhi yangu sikutarajia kuwa nitakaribishwa na mtu maarufu kama wewe, kwa furaha nilionayo natamani kububujikwa na machozi ya furaha ila sema sitaki kumpa kiki Lucas Mwashambwa, yule mnyaki mjinga mjinga.Karibu sana JF mgeni mwenyeji
Sawa, mkuu tumekupokeaNilisahau kusema "hodi" mkuu, sasa ndo nimejigundua sikua mstaarab, ahsante sana kwa ukaribisho.
kwa furaha nilionayo natamani kububujikwa na machozi ya furaha ila sema sitaki kumpa kiki Lucas Mwashambwa, yule mnyaki mjinga mjinga.😂Mzee nashukuru sana kwa kunikaribisha, kwa hadhi yangu sikutarajia kuwa nitakaribishwa na mtu maarufu kama wewe, kwa furaha nilionayo natamani kububujikwa na machozi ya furaha ila sema sitaki kumpa kiki Lucas Mwashambwa, yule mnyaki mjinga mjinga.
Bwashee yule chawa ni mnyiha, wanyakyusa hatunaga specie ya vilekwa furaha nilionayo natamani kububujikwa na machozi ya furaha ila sema sitaki kumpa kiki Lucas Mwashambwa, yule mnyaki mjinga mjinga.😂
Yaani kila kabila linamkataa😂 kazi anayo!Bwashee yule chawa ni mnyiha, wanyakyusa hatunaga specie ya vile
ndaga fijo ila nawewe karibu sana kule jukwaa langu pendwa la siasa.Karibu sana JamiiForums...
Teacher kwani kule chunya nako kuna akina MWA?Bwashee yule chawa ni mnyiha, wanyakyusa hatunaga specie ya vile
ndaga fijo ila nawewe karibu sana kule jukwaa langu pendwa la siasa.
Kuchelewa kwangu kujiunga JF tu tayali ushaniona mi dogo! ila sina budi kusema ahsante mkubwa.Karibu sana Dogo.