Helloooo;!! Helloooo!!!!!

Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,473
10,425
Habari za weekend wana chit chat
KUNA JAMBO NAPENDA NILIFAHAMUU ZAIDIII KUTOKA KWENUUU......

Katika maisha ya sisi binadamu kila mtu ana kitu chake anapendelea kukifanyaa ...wengine husema starehee yani kila mtu anastarehee yakeee........mfano hata km ukikwazika na jamboo fulani unaweza ukafanya kile kitu ukipendacho...lbd kikakupunguzia hasiraaa au kumaliza kbs tatizo ulilopata kwa muda huooo

Mfano: wengine hupendelea kunywa pombe.......kudance......kuogeleaaa....kucheza mpira,pool table,, ect......
...sasa kila mtu atuambie starehe yake ni nini.....
...Naanza na mimii..!!!

!!!!.. Napenda sana kusikiliza music especially Ragge ....pili napenda sana kucheza pool table na ndiyo starehee yangu kubwaa .......?!!!!! :cool:
 
Toka niijue JF imeharibu hobbie yangu ya kusoma novel, zamani nikiinza novel ya page 200 namaliza kwa siku moja ila siku hizi hata siku tatu au ne zinaenda kwa sababu ya JF.
 
Toka niijue JF imeharibu hobbie yangu ya kusoma novel, zamani nikiinza novel ya page 200 namaliza kwa siku moja ila siku hizi hata siku tatu au ne zinaenda kwa sababu ya JF.
Kwahiyo Jf ndiyo wenyewe????
That's good
 
Matusi..!! Nikiwa na hasira nitatukana matusi yote yaliyo kichwani mpaka hasira ziishe. Hapo lazima niwe pekee yangu sehemu ili nijiachie vizuri.
 
Back
Top Bottom