Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
Nawasalimu all of u, i luv u, i am here to contribute the truth as much as i can, nipokeeni wajameni, i am in hurry, fury, unhappy, angry, with our Nation how is being driven into a big holes, juzi tu CCM wametuibia, sasa CHENGEEEEEEE anataka uspika...!!!!!????, wallaahi TZ kwishney, jamani i am purely CHADEMA i am proud of that, nipokeeni jamani naumia saaaana.
hahahahahahhaha lol 1st of all ur name "Wameiba Kura" is very funny
nakitu cha pili inaonekana unamaoni mengi sana kuhusu chama tawala CCM..
karibu sana JF na wengi wetu hapa pia ni CHADEMA...
**********:smile-big:******* enjoy ur time
Kunja Mapepe yako yote Tulia!
Umo ndani ya mwenye JF tayari.
Haya karibu hapo ukumbini wenyewe tupo.
Lete habari!
nawasalimu all of u, i luv u, i am here to contribute the truth as much as i can, nipokeeni wajameni, i am in hurry, fury, unhappy, angry, with our nation how is being driven into a big holes, juzi tu ccm wametuibia, sasa chengeeeeeee anataka uspika...!!!!!????, wallaahi tz kwishney, jamani i am purely chadema i am proud of that, nipokeeni jamani naumia saaaana.
.............ahahahahaaaaah kwani kuqoute kunahitaji kuwa mwenyeji?Mbona Manjonjo mengiiiiii, inawezekana wewe sio mgeni hapa
mgeni hawezi kuja kwa style hii mara hii mgeni unajua kuqoute????hahah:nono::nono::nono:
Karibu mgeni