Eeeh Mungu, ukishangaa ya JK utayaona ya CHENGE na TAKUKURU, TZ mmhhh...!!!!!??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eeeh Mungu, ukishangaa ya JK utayaona ya CHENGE na TAKUKURU, TZ mmhhh...!!!!!???

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wameiba Kura, Nov 10, 2010.

 1. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i am so desperate, ndio nimekuja hapa JF, in hurry, fury, angry, pain, aaaaaahhhhhh yaani CCM, juzi wametuibia kura ya kipenzi chetu Dr. Slaa. hata watu hawajakaa sawa kwa maumivu, wamemtakasa Chenge, kuwania uspika, yaani hapa ndio mjue hili jinamizi litatumaliza, hata haya hamna, tena basi TAKUKURU inasema Chenge SAFIIIIIIIIII, wait a minute, i am dreaming, hay baby please nipe maji fast plse, ok, nipo sawa sasa, na JK as usual anaangalia tu, ww JK acha utani na maisha yetu, plse, acha, hivi Mungu huyu kila day namuomba yuko wapi..!!?? FIsadi kuwa speaker...!!!?? TAKUKURU ...!!!??? eeehh, plse those who love our country lay down ur comments,
   
 2. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Mkuu heshima sana, jamani ninaomba kuuliza hili suala la Dr. Slaa na Chadema kuibiwa kura za U-Rais, hivi ni kweli limetokea au ni siasa baada ya uchaguzi? I mean hivi kweli kama wameiba kura inawezekana wakampa Rais, Dr. Kikwete kura 61% tu!, that is all? Sio kwamba wangempa kura 85%!

  - Binafsi ninaamini sana kwa 100%, kwamba NEC wamefanya makosa mengi sana katika huu uchaguzi, lakini mengi ni makosa ya kitaaluma na incompetence zaidi kuliko integrity hivi kweli NEC wangechakachua kura zingeishia 61% tu? Mbona haingii akilini jamani, hebu tujaribu kuchambua kwa kina jinsi kura zilivyoibiwa, kwa dataz na evidence ikibidi hata imaginations labda tunaweza kuelimishana na pia kuwasaidia NEC in the future wasirudie makosa.


  William.
   
 3. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kuibiwa zimeibiwa, kama zisinge ibiwa leo tungekuwa tua raisi mwingie.........ila ccm wakaogopa kuiba mpaka hapo 88% unapopataka wewe coz kungekuwa na reaction ya ajabu.........kwani wewe unaona hamna wizi au vp?
   
 4. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heeh, where are living on Earth?, on Moon? Do you need to catch a thief RED HANDED in votes rigging..!!? ndicho unachofikiria.?? u said 61% of what? REG. voters 20 mil, waliopiga kura eti 8 mil, mpaka hapa tayari wizi mkubwa. Pamoja na kuiba they got 5 mil, kuna watu wengine TZ they are sooo blind to the truth of which u 100% know the truth, wacha unafiki, stop hypocrisy, i know ur CCM beneficiary, so najua naongea na na nani, but sisi hatutakubali kamwe, CCM noo, JK nooooooo, he is not my President, sikumchagua
   
 5. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Wooow! Duh!


  william.
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  punguza jazba basi ...  :doh:
   
 7. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu William
  Heshima yako sana.
  Unajua suala la kuiba kura Tanzania si jambo la siri tena, kwa taarifa yako kama kura zisingeibiwa huenda leo hii ccm ingekuwa nje ya uwanja kabisa. Dr. wako alikuwa amebwagwa mbali. Kwa bahati mbaya wenye vielelezo halisi nadhani kwa afya tu ya taifa wameamua kunyamaza navyo lakini hebu fikiria kwa mgombea yeyote wa uongozi wa kitaifa Tanzania akipoteza kura kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini na kanda ya kasikazini ni wazi kuwa huyo amekwenda. Ni katika kanda hizi utangazaji wa matokeo ulikuwa poor kabisa. Hao nec wanatakiwa kusambaratishwa sio kusaidiwa. Moja ya majibu yao ya maudhi ni kuchelewesha matokeo ya Segerea, ubungo na kawe kwa matatizo ya miundombinu na kutangaza matokeo ya bunda haraka ambako hakuna tatizo la miundombinu. Theni kauli ya mkuu wetu wa kaya anasema maeneo mengine ilibidi wafanye kazi ya ziada. Nadhani unaelewa ninachosema kama kweli wewe ni mtanzania.
  Kura zilichakachuliwa mpaka kufikisha hiyo 61. Na sasa suala la Chenge ndo kabisaa litakipeleka chama mochwari! CCM inakera, haina huruma na watanzania
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ule usemi wa siku za mwizi ni arobain...........una apply kweli kwa CCM???

  kwa sababu kila uchaguzi tunaambiwa wameiba kura.....

  uchaguzi huu umeshapita hatuwezi kufanya chochote sasa

  cha muhimimu nikutafuta mbinu mpya za kuchukua nchi kutoka mikononi mwa CCM in 2015
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ndg zangu Mungu bado yupo upande wetu wanaharakati wa ukombozi wa nchi. Kiimani ninachofahamu mimi ni kwamba anaendelea kuandaa 'mazingira ya ukombozi'. Mazingira yapo ya aina nyingi mojawapo ndiyo kama hayo ya chama tawala na taasisi inayosimamia mapambano dhidi ya rushwa kuwawezesha vinara wa ufisadi kufikiria hata kugombea nafasi ya uspika. Wao hawajui kwamba hasira ya watanzania inaendelea ku mount. Ole wao itakapofika 2015.
   
Loading...