Ni tumaini langu kuwa mko vizuri ndugu zangu wana jf, mimi ni mgeni katika ukumbi huu na hivi leo ninaomba baraka zenu wazee na watangulizi wangu ili tushiriki kwa pamoja katika kudadavua na kuchangia mijadara mbalimbali inayolihusu taifa letu na maisha yetu ya kila siku.
Natanguliza shukrani