Hello wana JF, nisaidie

Hello wana JF, nisaidie

Km una lile tangazo refer job descriptions
 
unajua mkuu weng wamemisplace zile job description hata mm ni mmoja wapo.Ila kwa msaada wa google tu lile tangazo watalipata hata mimi nimelipata kwa njia hyo.
 
hivi maisha ya maafisa tarafa ni mazuri! wana posho kama madiwani? usafiri na nyumba vipi? nauliza wakuu sababu hapo awali cheo hiki kilikuwa cha kisiasa zaidi kabla ya mabadiliko ya utumishi
 
mkuu hayo yote unayohoji inategemea mwenyewe unajipanga vp kwani maisha n mipango.
 
ni kwel wanaingia kwe baraza la madiwan na hlo ni moja ya majukum yake ktk tarafa na yeye anakuwa kama katibu wa hvy o vkao na anatakiwa awe mshaur mkuu ktk hlo baraza
 
katibu wa baraza la madiwani ni Murugenzi wa Halmashauri, kwa kifupi nafasi za afisa tarafa zinalazimishwa kuwepo tu ili kulinda cheo cha DC. hawa wanaripoti kwa katibu tawala wa wilaya hivyo kukamilisha team ya watu waliokuwa chini ya DC. Kwa kifupi hawana kazi za moja kwa moja za kuwahudumia wananchi kama ilivyo watendaji wa kata na vijiji. Kama huna option ya kazi nyingine nenda tu ukafanye hii kazi ila kwa maendeleo ya kitaaluma sikushauri ukawe afisa tarafa
 
asanteni wadau kwa amjibu mazuri..hii nafasi ya afisa tarafa waliweka mikoa husika ama ndo mtu unatupwa popote pale,. binafs niliomba ila sina details sana kua ni wapi my ikitokea umepata unapangiwa kazi
 
Back
Top Bottom