Kwani na wewe Una amini pia? Mi nilidhani ulikuwa unataka kujua kama kuna MTU alishafika mwezini.Mi huwa siamini kama kweli wanafika huko mwezini
Ni sauti ya Raisi wa Taifa la Marekani ikigonga kuta za maabara inayoelea angani Yani international Space station iliyo umbali wa km 400 kutoka uso wa dunia na inazunguka mile 5 kwa kila sekunde ni low orbit satellite Obama siku chache kabla ya mwanasayansi wa space Scott Kerry kurejea katika uso wa dunia alimpigia simu na kuongea nae kadhaa.
Mwanasayansi huyu wa anga yaani astronaut atakuwa ndio mwanaanga wa kwanza kukaa kwa muda mrefu katika kituo hicho cha anga amekaa ndani ya siku 340 amerejea juzi Machi moja huku akiwa na report kibao za huko ikiwemo makala za kivipi ali manage kuweka afya sawa kwa muda huo nje ya dunia. Kutokana na kurejea kwake tayari shirika na NASA limezidi kusisisitiza kupeleka Watu mars mnamo 2030.
Siamini hizo habari za NASA[emoji85] [emoji85]Kwani na wewe Una amini pia? Mi nilidhani ulikuwa unataka kujua kama kuna MTU alishafika mwezini.
Siamini hizo habari za NASA[emoji85] [emoji85]
Ndio nataka kujua kama ni kweli
nazidi kusisitiza kwamba nitakuwa binadamu wa mwisho kuamini kama kuna mtu yoyote kutoka duniani aliyewahi kukanyaga mwezini.Mi huwa siamini kama kweli wanafika huko mwezini
Hakuna binadamu aliekanyaga mwezini hii habari wala haina uhusiano na mwezini hii ni simu ya obama kwenda Ktk maabara inayoeleinayoelea ISSnazidi kusisitiza kwamba nitakuwa binadamu wa mwisho kuamini kama kuna mtu yoyote kutoka duniani aliyewahi kukanyaga mwezini.
Yap.. nimeisoma habari na kuielewa na haina uhusiano na kufika mwezini, sema nilikuwa nafanya kumsistizia Jemena kuwa hata mimi nina imani kma zake kuhusu binadamu kufika mwezini.. ila ni vizuri pia kuwa na mtazamo sawa na mimi, the moan landing is hoax na hata pia hili la huyu mtu kukaa huko angani kwa zaidi ya siku 300 nalo pia nina doubt.... huyo binadamu huu muda wote aliishije? kwa maana ya kupata mahitaji yote ya binadamu, kama vile chakula? Uwezo wa hizo life supporting devices unaweza kumaliza muda wote huo?Hakuna binadamu aliekanyaga mwezini hii habari wala haina uhusiano na mwezini hii ni simu ya obama kwenda Ktk maabara inayoeleinayoelea ISS
Hilo la kukaa ni uhakika mkuu vitu kama vyakula hupelekwa na RocketYap.. nimeisoma habari na kuielewa na haina uhusiano na kufika mwezini, sema nilikuwa nafanya kumsistizia Jemena kuwa hata mimi nina imani kma zake kuhusu binadamu kufika mwezini.. ila ni vizuri pia kuwa na mtazamo sawa na mimi, the moan landing is hoax na hata pia hili la huyu mtu kukaa huko angani kwa zaidi ya siku 300 nalo pia nina doubt.... huyo binadamu huu muda wote aliishije? kwa maana ya kupata mahitaji yote ya binadamu, kama vile chakula? Uwezo wa hizo life supporting devices unaweza kumaliza muda wote huo?
Unajua kuna watu wanaamini kabisa kuwa watu wote wenye hela ndefu hapa duniani wanamafungamano na freemason au illuminant...hii ni kutokana na kufananisha mbinu zake za utafutaji fedha na za wengine,anafananisha akili zake na za wengine,anafananusha mazingira yake na mazingira ya wengine.Hao watu siwezi kusema mnaweza kufanana kwa namna gani ila unaweza kuwa katika kundi lao hilo.ila ni vizuri pia kuwa na mtazamo sawa na mimi, the moan landing is hoax na hata pia hili la huyu mtu kukaa huko angani kwa zaidi ya siku 300 nalo pia nina doubt.... huyo binadamu huu muda wote aliishije? kwa maana ya kupata mahitaji yote ya binadamu, kama vile chakula? Uwezo wa hizo life supporting devices unaweza kumaliza muda wote huo?
Umemaliza kila kitu mkuu. Tumetofautiana namna ya kifikiri.Unajua kuna watu wanaamini kabisa kuwa watu wote wenye hela ndefu hapa duniani wanamafungamano na freemason au illuminant...hii ni kutokana na kufananisha mbinu zake za utafutaji fedha na za wengine,anafananisha akili zake na za wengine,anafananusha mazingira yake na mazingira ya wengine.Hao watu siwezi kusema mnaweza kufanana kwa namna gani ila unaweza kuwa katika kundi lao hilo.
Just simply,HATUFANANI akili na fedha.
He didn't shower for the entire mission.Scott Kerry alikuwa na Warusi wawili na yeye alikuwa Mmarekani pekee katika Soyaz.
He didn't shower for the entire mission.Scott Kerry alikuwa na Warusi wawili na yeye alikuwa Mmarekani pekee katika Soyaz.
USA Baby? hivi unajua asilimia kubwa ya hiyo modules za ISS zimetengenezwa na Russia na soyuz pia inamilikiwa na warussia. Sidhani kama kuna haja ya kuikuza USA kwenye hili maana ni joint project.USA Baby