Kisendi elia
Member
- Jan 21, 2020
- 15
- 3
Nikiwa mkubwa nitakuwa napokea wageni kwa ukarimu kama Brenda sharletHello there Kisendi elia
HelloHello there Kisendi elia
HelloHello there Kisendi elia
fb hiiii.Hello Jf
I'm new member View attachment 1579989
Hahahahahaha tabia njema sana hiiNikiwa mkubwa nitakuwa napokea wageni kwa ukarimu kama Brenda sharlet
Angalizo, chunga ID yako huku usije dukuliwa[SUP]asante sana babu kwenye ulimwengu huu [/SUP]
Hello my dearHello there Kisendi elia
Naomba msaada wako ndg ninamna gani naweza chunga ID yang maana haya mambo siyajuiAngalizo, chunga ID yako huku usije dukuliwa
Usije ulizwa namba yako ya simu na kuituma kwa mtu usiyemjua. Kuna inbox communication huku pia.Naomba msaada wako ndg ninamna gani naweza chunga ID yang maana haya mambo siyajui
Usizubutu .utakula kwako.Karibu dogo,weka na picha ya girlfriend wako
asante sana kwa kunielewesha katika hili, na hiyo inbox inakuaje?Usije ulizwa namba yako ya simu na kuituma kwa mtu usiyemjua. Kuna inbox communication huku pia.
JF unayo in box,angalia utaiona .Huku ni kundi kubwa wengi vichwa ngumu. Hadi TISS wamo wanajiita wanaccm Ili uingie 40 zao.Asny
asante sana kwa kunielewesha katika hili, na hiyo inbox inakuaje?