Hello! Me ni new member

Joined
Apr 10, 2013
Posts
71
Reaction score
14
Ninayo furaha sana kuhingia katika ulingo huwa wa Jf chart naomba mnipokee tuwe pamoja katika kupeana ushauri,na kujaliana mambo ya msingi il kuweza kuimprove our life . ASANTE
 
karibu lakini chunga kucha zako maana ......
 
Karibu sana Baraka, feel free kutembelea majukwaa yote, karibu JF
Ninayo furaha sana
kuhingia katika ulingo huwa wa Jf chart naomba mnipokee tuwe pamoja
katika kupeana ushauri,na kujaliana mambo ya msingi il kuweza kuimprove
our life . ASANTE
 
Ninayo furaha sana kuhingia katika ulingo huwa wa Jf chart naomba mnipokee tuwe pamoja katika kupeana ushauri,na kujaliana mambo ya msingi il kuweza kuimprove our life . ASANTE
samahani lakini....
Karibu...
 
Karibu sana!
Btw mwandiko wako unafanana sana na wa Filipo Mifugo.
 
Waaaaaaoooooh leo jamani nimefurahi, kaka Baraka mungure ni school mate wa sekondari na tulitumia chemba moja ya kusomea enzi hizo, pale physics lab!!! kaka Baraka mungure nakuja kwenye PM
 
Last edited by a moderator:
Lucas umempata Classmate mwenzako wow
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…