Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Kwamba hukwenda kumzika msabato mwenzio wa zabron singers?ivi kumbe kuna msiba
Kwamba hukwenda kumzika msabato mwenzio wa zabron singers?ivi kumbe kuna msiba
Kwani ata nilkua najua sasa🙆🏾 yaani hata tv sikua nawasha niliamua ni relax hadi ubongoKwamba hukwenda kumzika msabato mwenzio wa zabron singers?
Kazi kuchezea vindege tu.Kwani ata nilkua najua sasa🙆🏾 yaani hata tv sikua nawasha niliamua ni relax hadi ubongo
Hujawah niacha salama mshenzi wewe 😂Kazi kuchezea vindege tu.
Achana na kuchezea vindege, ndio wewe ulituleteaga mafua ya ndege ila hukomi.Hujawah niacha salama mshenzi wewe 😂