RENEGADE 01
Member
- Jul 24, 2016
- 10
- 6
You wom welcome Sir, ingia bila kuvua viatu.
Ngoja nishushie viroba vyangu kazaa hapa ndio nirudi kukujibu vzr kwa lugha ya Malkia.
Nashukuru kwa onyo mkuu ila itanibidi tu nipate kanzaa ili niweze kuelewa na kujibu ulichokiandika hapo juu otherwise nitaambulia sufuri.hahaaaaa, thanks bro, ila kua makini na ivo viroba usije ukatia aibu kesho kazini!
khasante!Sijaelewa hata kimoja ila karibu
sawa, usiku mwema!Nashukuru kwa onyo mkuu ila itanibidi tu nipate kanzaa ili niweze kuelewa na kujibu ulichokiandika hapo juu otherwise nitaambulia sufuri.
ππππ ma mkwe njoo upate kirobo itakusaidia kung'amua baadhi ya maneno hapo.Sijaelewa hata kimoja ila karibu
Nakuja mkwe, na bangi peace tatu usisahauππππ ma mkwe njoo upate kirobo itakusaidia kung'amua baadhi ya maneno hapo.
duuh! hapa ma mkwe sinaNakuja mkwe, na bangi peace tatu usisahau
Tafuta, mwanaume ukiombwa hutakiwi kukataa mkwe wangu unahitaji beg party sasaduuh! hapa ma mkwe sina
Hahahaha please narrate
Basi njoo utakuta nimekuandalia kitu cha Arusha ma mkwe, tatizo lake inaweza kukufanya ukachanganyana.Tafuta, mwanaume ukiombwa hutakiwi kukataa mkwe wangu unahitaji beg party sasa
thanks for your kindness!feel at home dear member!