O Ombeni w lema Member Joined Nov 16, 2010 Posts 22 Reaction score 1 Jan 11, 2011 #1 Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu,
Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu,
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Jan 11, 2011 #2 dah! post ya introduction, umeipost jukwaa la JF Doctor na inazungumzia siasa. yaani umechanganya majukwaa matatu kwenye post moja. huu kweli ni ugonjwa serious. tumsubiri mzizimkavu alete dozi zake za vitunguu. kama ulikusudia kukaribishwa. karib sana.
dah! post ya introduction, umeipost jukwaa la JF Doctor na inazungumzia siasa. yaani umechanganya majukwaa matatu kwenye post moja. huu kweli ni ugonjwa serious. tumsubiri mzizimkavu alete dozi zake za vitunguu. kama ulikusudia kukaribishwa. karib sana.
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Jan 12, 2011 #3 Ombeni w lema said: Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu, Click to expand... Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu?
Ombeni w lema said: Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu, Click to expand... Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu?
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Jan 12, 2011 #4 paulss said: Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu? Click to expand... paulss huyu bwana:inawezekana anatatizo mbaya zaidi hajui kama anaumwa hivyo mpelekeni milembe kwa uchunguzi.
paulss said: Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu? Click to expand... paulss huyu bwana:inawezekana anatatizo mbaya zaidi hajui kama anaumwa hivyo mpelekeni milembe kwa uchunguzi.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Jan 12, 2011 #5 paulss said: Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu? Click to expand... Hahaahaa kweli mkuu ni lazima ku-diagnose kabla ya kutoa tiba!
paulss said: Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu? Click to expand... Hahaahaa kweli mkuu ni lazima ku-diagnose kabla ya kutoa tiba!