Bieng Gineous
Member
- Jan 30, 2013
- 18
- 13
KWELI wanawake wana GHALAMA? kila kiungo chao kinaitaji FEDHA!!! nywele zinataka dawa! MASKIO yanataka HELENI! MACHO yanataka WANJA na SHADOW PUA inataka KIPINI, MDOMO unataka LIPSTIC, USO unataka PODA, SHINGO inataka CHENI, MATITI yanataka SINDILIA, MIKONO inataka BANGILI, VIDOLE vinataka PETE, KIUNO kinataka SHANGA, ------ yanataka CHUPI, MIGUU inataka HINA na VIATU, MAVUZI yanataka KIWEMBE, ---- inataka ALWAYS,? kwa msingi huu ni heli kua bachela",,!?!