Hela zangu znapotea tu.

Hacon

Member
Nov 13, 2015
63
23
WanaJF sor guys huwa napokea shlng 250000 kwa mwez ila huwa nashndwa ipangia mambo mazur ya kufanya ingawa nmepanga kwahyo inaisha bla hata mimi kujua nmeifanyia nn cha maana.So naomben ushaur jns ya kuitumia pesa vzur kwasababu napata shida.
 
hata mimi niko na hilo tatizo, ngoja akina lipumba waje watusaidie mkuu
 
WanaJF sor guys huwa napokea shlng 250000 kwa mwez ila huwa nashndwa ipangia mambo mazur ya kufanya ingawa nmepanga kwahyo inaisha bla hata mimi kujua nmeifanyia nn cha maana.So naomben ushaur jns ya kuitumia pesa vzur kwasababu napata shida.
Siku,ukipata tu mshahara, acha kazi njoo tufanye biàshara ya matunda hakika hutojuta.
 
250,000 mwezi mzims na bado unajitahidi ku save wewe ni mpiganaji bratha mungu akufungulie more.and more utafika mbali sana in life " 100$ a month and u think of saving bratha niamini wewe kiboko na bonge ya mwanaume goodluck .....umenifurahisha na kunisikisha sana same time
 
Unatatizo LA wenge ukiona ela jitaidi kuwa mtulivu,aaf panga mambo yako ya msingi yakufanya na ela unayopata
 
Kwanza hongera kwa kuweza kuishi kwa pesa hiyo. Pili sijajua mambo ya maana unayotaka kufanya kwa pesa hiyo ni yapi. Tuweke wazi.
 
WanaJF sor guys huwa napokea shlng 250000 kwa mwez ila huwa nashndwa ipangia mambo mazur ya kufanya ingawa nmepanga kwahyo inaisha bla hata mimi kujua nmeifanyia nn cha maana.So naomben ushaur jns ya kuitumia pesa vzur kwasababu napata shida.
Kiukweli mshahara wako ni mdogo sana.....
Kwanza hongera kwa kuweza kutusua kila mwezi kwa 250 elfu
 
Kwa kila kitu unachonunua kupitia hio hela andika kwenye daftari ,record it na kiasi kilchobakia baada y mshahara wako wa pili kuingia
 
WanaJF sor guys huwa napokea shlng 250000 kwa mwez ila huwa nashndwa ipangia mambo mazur ya kufanya ingawa nmepanga kwahyo inaisha bla hata mimi kujua nmeifanyia nn cha maana.So naomben ushaur jns ya kuitumia pesa vzur kwasababu napata shida.
Kunywa bia 4 daily
Ni hayo tu
HM
 
Back
Top Bottom