Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 850 Jan 31, 2017 #1 Habari zenu wakuu, kuna mtu anazo shilingi za zamani anauza zipo sh 20, sh 5, senti 5, senti 20, senti 10, senti 50 na sh 1 Vp tunaweza kupata mtu anayehitaji?
Habari zenu wakuu, kuna mtu anazo shilingi za zamani anauza zipo sh 20, sh 5, senti 5, senti 20, senti 10, senti 50 na sh 1 Vp tunaweza kupata mtu anayehitaji?
E ebaeban JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 2,205 Reaction score 2,707 Jan 31, 2017 #2 Watafuteni ma-coin collectors kama watakuwa hawana hizo hela kwenye mesium zao watanunua
Yumbayumba JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,240 Reaction score 850 Jan 31, 2017 Thread starter #3 ebaeban said: Watafuteni ma-coin collectors kama watakuwa hawana hizo hela kwenye mesium zao watanunua Click to expand... Wanapatikana wapi hao jamaa?
ebaeban said: Watafuteni ma-coin collectors kama watakuwa hawana hizo hela kwenye mesium zao watanunua Click to expand... Wanapatikana wapi hao jamaa?