Hela za walipa kodi na watoto wa mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hela za walipa kodi na watoto wa mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Oct 19, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Pengine maneno yangu yatakuwa ni uchochezi, lakini kwa maneno yao, waone wakina Charles Kimei Junior, a.ka. Mike Vuitton. Bonyeza Hiyo Linki Hapo chini

  http://www.u-turn.co.tz/index.php/kwanza/1253-bongos-young-money#JOSC_TOP

  Tanzania tunaelekea wapi, nashindwa kuwanunulia wanangu chakula na mtoto wa kimei anatanua namna hii, mtoto hana kazi lakini maisha makubwa kuliko waziri wa kilimo?
   
 2. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  isije ikawa yale yale ya mtoto wa mengi...
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,047
  Likes Received: 3,953
  Trophy Points: 280
  cha ajabu nini kwenye hizo picha? mbona sioni cha kutisha nathani wanakunywa wengine maji wengine champagne mwingine yuko ndani ya ndege in a cabin vitu ambavyo kwa umri wao ni vya maana according to them! kwanini usishangae nyumba ya Riz1 billioni mbili na hana bishara na kaanza kazi ya kuajiriwa hivi majuzi tu!
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Macheckbob tu hakuna urongo ulioandikwa na wachangiaji kule, madogo kama watatu nawajua ni wako vyuoni europe na malaysia:dance:
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli sasa Tunaelekea pabaya.
   
Loading...