Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,455
- 286,866
[emoji38][emoji38][emoji38]Huu utafiti una ukweli kwa asilimia 100
Utafiti huu: Ukiwa mwanachama wa CCM wewe ni jinga, kilaza, masikini, moumbavu, takatakaAkizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Kigoma , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amewaeleza wakazi wa Kigoma kwamba huu mpango wa ccm kuorodhesha kaya masikini ili kuzipatia Pesa za Tasaf , kwa kutumia kadi za chama cha mapinduzi ni wizi kama wizi mwingine na ni kinyume cha sheria .
Amesema hela za Tasaf ni mkopo ambao serikali inapewa ili kusaidia wasiojiweza , wala siyo chambo cha kuvutia masikini ili wajiunge na ccm , maana mkopo huu utalipwa na nchi yetu , wala hautalipwa na ccm .
======
Mytake
Ndio maana Twaweza walikuja na utafiti huu miaka ya nyuma , kwa vile wazee wengi na masikini wa vijijini wanaamini kwamba bila kadi ya ccm hupewi hela za Tasaf
View attachment 2626164
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hela za TASAF zitaendelea kuwa mali ya CCM hadi itakapoondoka madarakani.Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara huko Kigoma , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amewaeleza wakazi wa Kigoma kwamba huu mpango wa ccm kuorodhesha kaya masikini ili kuzipatia Pesa za Tasaf , kwa kutumia kadi za chama cha mapinduzi ni wizi kama wizi mwingine na ni kinyume cha sheria .
Amesema hela za Tasaf ni mkopo ambao serikali inapewa ili kusaidia wasiojiweza , wala siyo chambo cha kuvutia masikini ili wajiunge na ccm , maana mkopo huu utalipwa na nchi yetu , wala hautalipwa na ccm .
======
Mytake
Ndio maana Twaweza walikuja na utafiti huu miaka ya nyuma , kwa vile wazee wengi na masikini wa vijijini wanaamini kwamba bila kadi ya ccm hupewi hela za Tasaf
View attachment 2626164
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Katiba mpya itaondoa huu uchafuHela za TASAF zitaendelea kuwa mali ya CCM hadi itakapoondoka madarakani.
Kura yako ndo pekee si mali yao hivyo wanatumia dola kuipora hiyo kura
Mpaka sasa hakuna dalili ya ujio wa Katiba Mpya.
Ikifika wakati wake tutasema kama ccm haitaki Katiba mpyaMpaka sasa hakuna dalili ya ujio wa Katiba Mpya.
Dawa ni kuwatoa madarakani ili wstalaokuja waanze na Katiba Mpya.
Usitegemee Katiba bora chini ya CCM
Suala lenyewe la mikutano ya kisiasa wameumia sana ndani kuona zimeruhusiwa.Ikifika wakati wake tutasema kama ccm haitaki Katiba mpya
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
HakikaUtafiti huo unaakisi ukweli kuhusu serikali zote za CCM tangu uhuru.