Leo wameaminishwa wao ndiyo wengi. Kweli mjini shuleBiashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?
Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.
Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
Tuna tahadharisha tu, raha ya Yanga shurti kuwe na Simba.Inakuhusu nini wewe mpaka uhoji? Wakati timu inatembeza bakuli nyakati za njaa, uliwahi kuchangia senti ngapi? Mabadiliko ni ya Simba, yanga unapiga kelele kwa uhalali upi hasa?! Rekebisheni nyumba yenu huku hakuwahusu!
Kwahiyo Mkuu wewe pekee ndio umeliona hili kuliko vichwa vyote vilivyoshiriki kwenye huu mchakato?! Hii tahadhari kila mtu iko kichwani mwake, tena hadi serikali. Ndio maana ikatunga kanuni haraka haraka Nov 27 mwaka huu za kuruhusu kuuzwa kwa hisa ya 49% ili kuvilinda vilab vyote vitakavyoingia kwenye huu mfumo. Kwahiyo we endelea tu kufuatilia matibabu ya kamusoko huku kuna wahusika wanasimamia.Tuna tahadharisha tu, raha ya Yanga shurti kuwe na Simba.
Mahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.Yule aliekuwa anaandaa orodha ya mashabiki wa hovyo amjumuishe na huyu.
Vichwa vyote hivyo inawezekana hawakuliona hill, mtindo wa kuuza mechi na kamali ilikuwa ukitumiwa na akina Gulamali na DewjiKwahiyo Mkuu wewe pekee ndio umeliona hili kuliko vichwa vyote vilivyoshiriki kwenye huu mchakato?! Hii tahadhari kila mtu iko kichwani mwake, tena hadi serikali. Ndio maana ikatunga kanuni haraka haraka Nov 27 mwaka huu za kuruhusu kuuzwa kwa hisa ya 49% ili kuvilinda vilab vyote vitakavyoingia kwenye huu mfumo. Kwahiyo we endelea tu kufuatilia matibabu ya kamusoko huku kuna wahusika wanasimamia.
Leo walikuwa wanajifariji eti ni wao. Pamoja na chuki yote kwa Yanga, Nicolas Musonye, Katibu wa CECAFA analijua hilo.Timu yenye mashabiki wengi ni yanga hilo halina ubishi
Ukitaka kufanya usafi ,unaanzia ulipo simama...Biashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?
Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.
Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
Hili ulitakiwa kumuuliza manjiMahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.
Mashabiki mbumbumbuTimu yenye mashabiki wengi ni yanga hilo halina ubishi
Mashabiki mbumbumbu ni wa simba rejea kauli ya Rage au we sio mfatiliaji au ulizia hapo kariakooMashabiki mbumbumbu
Mimi sio rage, acha kushikiwa akili bibieMashabiki mbumbumbu ni wa simba rejea kauli ya Rage au we sio mfatiliaji au ulizia hapo kariakoo