Hela ya bodi heslb utailipa tumia vizuri

Ela ya kujikimu ni 7,500 kwa siku,unalipwa kwa semester mbili kila semester ina siku 120 na huwa wanatoa kwa mikupuo 4 ya miezi 2,hivyo kila baada ya miezi 2 unapewa 450,000...ela ya stationaries utapewa na bum la kwanza,which means bum la kwanza litakuwa 650,000 ivi...

hiyo ela ya stationaries unalipaje,je ni kwa semister au kila utakapoitaj huduma ya stationaries?
 
Akijipanga ananunua,mbona people kibao zinanunua,it all takes focus and budget!

hiv mkuu lap top ambayo haitamsumbua mtu inatakiwa kuwa na RAM na PROCCESSOR za ukubwa gan?na gharama zinaanzia sh ngap?je unaweza kupewa na kulipa nusunusu?je hamna top za promo kwa wanafunz?
 
hiv mkuu lap top ambayo haitamsumbua mtu inatakiwa kuwa na RAM na PROCCESSOR za ukubwa gan?na gharama zinaanzia sh ngap?je unaweza kupewa na kulipa nusunusu?je hamna top za promo kwa wanafunz?

Sina uzoefu kivile ndugu yangu,ila usihofu wanaojua watakujuza hapahapa!
 
Back
Top Bottom