Wajameni mi napendaga kuigiza kama hivi, hivi wapi vileeeee tunajiandikisha kuigiza namna hii? ili kesho nitie timu... kuhusu malipo wala hamna haja, najitolea tu kuigiza, napendaga sana hizi staili za kuigiza... ila huyu dada nanihii awepo au watu kama yeye...