niliangalia ile clip, nikajaribu Ku imagine yule Dada aliyefanyiwa kile kitendo ungekuwa ni dadangu,mwanangu, mamangu ,Rafiki hata jirani, kwa kweli kile kitendo sio cha kiungwana hata kidogo.
binadaam yoyote mwenyewe akili timamu, tena sober minded hawezi kushiriki kitendo cha kinyama Kama kile.
naungana na mwanzisha Uzi pamoja na wale wote wenye akili timamu kukemea kile kitendo cha kinyama kwa Dada zetu.