HEKO TANZANIA: Tanzania assists Kenya to solve jet fuel crisis

Yule-Msee

JF-Expert Member
May 15, 2014
306
134
Tanzania has come to Kenya's rescue by pledging to deliver a consignment of jet fuel to avert a looming crisis due to botched supplies.
The Energy Ministry on Monday ordered additional emergency supplies as it put in place tough new regulations to deter future defaulters.
"We are in touch with Tanzania to mitigate the challenge.

We expect supplies in six hours," said Energy Cabinet secretary Davis Chirchir. "The company (Kencor Petroleum Limited) informed us on Friday of shipping delays."
======================================

DN+ENERGY+1403q.JPG.jpg

Energy Cabinet Secretary Davis Chirchir speaks at a past event in Nairobi on March 14, 2014.

Tanzania has come to Kenya's rescue by pledging to deliver a consignment of jet fuel to avert a looming crisis due to botched supplies.

The Energy Ministry on Monday ordered additional emergency supplies as it put in place tough new regulations to deter future defaulters.

"We are in touch with Tanzania to mitigate the challenge. We expect supplies in six hours," said Energy Cabinet secretary Davis Chirchir. "The company (Kencor Petroleum Limited) informed us on Friday of shipping delays."

He said the company was operating on a transit licence.

Kencor, the oil marketing company awarded the tender to deliver jet fuel (Jet A1) between June 12 and 14, failed to do so after it encountered problems at the port offloading, forcing the company to seek supply from another vessel.

Mr Chirchir held a crisis meeting on Monday with industry chief executives over the matter and resolved that only companies with a retail presence in the country would henceforth be licensed to ship in supplies on behalf of the industry.

"I have given instructions for only those firms that trade locally to participate," he said.

Kencor Petroleum failed to bring in some 52.239 metric tonnes by June 12, as agreed.

Another meeting will be held on Wednesday and on Thursday to begin the review of the Open Tender System (OTS) regulations.

Besides the benchmarks on Kenya-based firms, Wednesday's meeting is expected to entrench a mandatory execution of a performance bond for any OTS bidder to provide security for the importers and act as a deterrent against negligence.

Source;nation
 
Kwa mara ya kwanza hamkufunga mpaka mliposkia Kenya yahitaji usaidizi kama ule wakati wa mahindi!
 
Ninyi kula yenu mnategemea Tanzania halafu unaleta mdomo?

Umepigea mswaki au chang'aa ndio imetawala?

Wananunua lakini hatuwapi bure kumbuka, halafu hawaendeshi serikali Yao kwa kutembeza bakuli la msaada Kama matonya.
 
Wananunua lakini hatuwapi bure kumbuka, halafu hawaendeshi serikali Yao kwa kutembeza bakuli la msaada Kama matonya.

Sasa kwanini waseme tunafunga mipaka? au huo uongo wewe hujauona?

Sasa hapo wamefanya nini kama sio kututembezea bakuli tuwasaidie?

Hivi huwa mnafikiri kabla ya kuandika? no wonder watu kama wewe wanaifanya Tanzania iwe ni nchi yenye watu wa IQ ndogo sana duniani.
 
Wakati Kenya ilikuwa na njaa, Tanzania ilipiga marufuku mahindi kutoka Tanzania kuuzwa Kenya. Hivi leo nawapa heko kwa kuitikia kutuuzia maguta wakati wa shida.
 
na mjiandae kununua mahindi ila tunataka bei yenye maslahi mazuri maanake alshabaab washawavuruga sijui hata kama mmelima mwaka huu
 
Wakati Kenya ilikuwa na njaa, Tanzania ilipiga marufuku mahindi kutoka Tanzania kuuzwa Kenya. Hivi leo nawapa heko kwa kuitikia kutuuzia maguta wakati wa shida.

Yamepigwa marufuku kwa sababu, si bure. Mlikuwa mnapitisha njia ya panya, watu wanasema wanapeleka mahindi kumbe wanapeleka na sukari.

Tanzania haijawahi kuwanyima chakula hata siku moja, nenda sokoni kwenu ukaone, hata matunda mnayokula 80% yanatoka Tanzania. Hulijui hilo?

Nyang'au wahed.
 
hehe, faizafoxy wallahi leo umenitusi!q
 
si walitutenga hawa kweli mtoto akiunyea mkono haukati bali unausafisha na maji maisha yaendelee
 
Hivi kwa jinsi mnavyojisheua, haya mafuta mnatupea bure ama tunanunua.

hakuna anaejishaua east africa development inaitaji nguvu ya pamoja na ushirikiano la sivyo tutashindwa hata kupeana hifadhi mambo ya kitibuka
kenya they must take that as lesson
 
Lamwaina78 kwanin msinunue Rwanda au Uganda.?

Ina maana chochote tunachowauzia ninyi huwa tunawasaidia, jameni muamuke, mtazidi kulala hadi lini. Tanzania itakombolewa na vizazi vya kesho, waliopo sasa hivi wana matatizo kibao kimawazo.
 
Back
Top Bottom