Heko CRDB BANK kwa Ubunifu huu!

Heko CRDB BANK kwa Ubunifu huu!

Hakeem makamba

Senior Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
123
Reaction score
41
*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU*

*Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki alikuwa akituagiza tumletee kitabu chake cha benki, vilikuwa kinatunzwa sana ni mara chache utakuta watu wakitembea navyo tofauti na Tembocard ambazo zimekuwa ni sehemu za wallet na maisha yetu ya kila siku. Ni muongo sasa umepita, maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kuchagiza maendeleo ya kiuchumi na kurahisiha maisha yetu. Leo katika harakati zangu za ujenzi wa taifa nimekatiza mitaa flani kupata huduma wakati nikifikiria sina pesa za kulipa katika wallet, nikaona bango la "Scan Lipa Sepa na SimBanking Visa," nitoe heko kwa Benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa kinara wa ubunifu kwa huduma na bidhaa, huduma kama hii ya SimBanking Visa itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza foleni katika kufanya malipo na hivyo wateja kutumia muda mchache kupata huduma. Binafsi ninajivunia sana kuona benki hii ya kizalendo ikiendelea kuwa kinara kwa ubunifu.*

*Hongereni sana Benki ya CRDB*
 
Angalau ndio Bank ya kizalendo inayochipuka kwa kasi licha ya changamoto za kiuchumi sasa
 
banking industry ina miaka 50.. ila telecom industry ina miaka less than 20.. ila telecom inamabadiliko mengi ya haraka than banking.
hizo lipa kwa digitally.. airtelmoney, tigo pesa , m pesa wameweka hizo huduma 2 yrs ago.. sehemu nyingi sana madukani kuna lipa kwa tigo pesa.

crdb wanajitahiji sana.. ila waongeze spidi kama kampuni za simu
 
*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU*

*Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki alikuwa akituagiza tumletee kitabu chake cha benki, vilikuwa kinatunzwa sana ni mara chache utakuta watu wakitembea navyo tofauti na Tembocard ambazo zimekuwa ni sehemu za wallet na maisha yetu ya kila siku. Ni muongo sasa umepita, maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kuchagiza maendeleo ya kiuchumi na kurahisiha maisha yetu. Leo katika harakati zangu za ujenzi wa taifa nimekatiza mitaa flani kupata huduma wakati nikifikiria sina pesa za kulipa katika wallet, nikaona bango la "Scan Lipa Sepa na SimBanking Visa," nitoe heko kwa Benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa kinara wa ubunifu kwa huduma na bidhaa, huduma kama hii ya SimBanking Visa itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza foleni katika kufanya malipo na hivyo wateja kutumia muda mchache kupata huduma. Binafsi ninajivunia sana kuona benki hii ya kizalendo ikiendelea kuwa kinara kwa ubunifu.*

*Hongereni sana Benki ya CRDB*
Nijambo zuri ni rahisi na ni salama
 
Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki alikuwa akituagiza tumletee kitabu chake cha benki, vilikuwa kinatunzwa sana ni mara chache utakuta watu wakitembea navyo tofauti na Tembocard ambazo zimekuwa ni sehemu za wallet na maisha yetu ya kila siku

19275169_1405335809561143_7866539539793318968_n.jpg
 
hapo hakuna ubunifu wowote zaidi ya kucopy na kupaste kutoka kwa majirani zetu
 
CRDB bank hongera sana. Mna huduma nzuri huduma zenu ni faster. Nawapenda Nijilaumu kutojiunga nanyi mapema.
 
CRDB wanajitahidi sana kwenye ubunifu, mara nyingi mabadiliko kwa benki kubwa huwa yanachelewa sana.

Lakini huu uzuri wote unakua na tija kama salio la akaunti ya Tsh haisomi salio la USD.
 
kwanini bwana samaritan

Makato ya kijinga kijinga, foleni zisizo na msingi, system downtime nyingi, ATM za offsite kutokufanya kazi muda mwingi.

Lakini kusema ukweli siku hizi wamejitahidi sana. Wanaongoza kwa ubunifu na hasa kwenye teknolijia. Mobile App yao iko mcharo, Mobile banking ya kawaida nayo si haba.

Wajitahidi kuendelea kufanya vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom