Hekima ni bora kuliko jeuri

Hekima ni bora kuliko jeuri

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Mwaka 2019 mimi pamoja na marafiki zangu watatu Tulipata kazi kwenye kiwanda fulani cha kutengeneza biskuti
Historia ya sehemu hiyo kama tulivyo ambia na watu ilikuwa sio nzuri kwa watu weusi maana kulikuwa wazungu tu na watu weusi wengi walikuwa wanakimbia sehemu hiyo kutokana na matatizo ya kubaguliwa na wafanya kazi wenzao (wale wasimamizi wenyewe hawanaga ubaguzi ubaguzi upo kwa wafanya kazi)

Sisi tukajiamini na kusema na liwalo na liwe sisi ndo tutakuwa watu weusi wa kwanza kufanya kazi apo na hakuna kitakacho tukuta

Eee bwana ile siku ya kwanza sisi kutambulishwa tu tulianza kuona sura za wafanyakazi wenzetu kununa lakini sio wote baadhi.

Na baada ya apo ni ubaguzi wawazi wazi ndo tulikuwa tuna onyeshwa na baadhi ya wafanya kazi wenzetu
Marafiki zangu walikuwa wanabebana kila siku na baadhi ya watu fulani mule ndani ya kiwanda tulijaribu kupeleka malalamiko yetu ofisini kule lakini hakuna kilicho badirika.

Mwisho wale marafiki zangu walishindwa na kazi wakaacha nikabaki peke yangu. Mimi sikukata tamaa nilipambana na kazi.

Licha ya kuonyeshwa ubaguzi kutukanwa kwa mafumbo kuchekwa sikuwahi kujibu mtu yeyote wala kuongeya chochote kwao

Mwishowe walishindwa wenyewe kuona wanamuwekea ubaguzi mtu asiye jali na nilijituma saana ndani ya kazi kwa ile nafasi ndogo ambayo walikuwa wana nipa. Chuki zao zidi yangu zikabadirika upendo. Mpaka wakafikia hatua ya kuniita (enfant sage) Yaani Mtoto mwenye hekima.

Wakati mwingine tumia hekima yako kuliko jeuri. Najua inauma saana lakini don't care.

Malipo ya kazi yako au hekima yako. Itawajibu wapumbavu
 
Mwaka 2019 mimi pamoja na marafiki zangu watatu Tulipata kazi kwenye kiwanda fulani cha kutengeneza biskuti
Historia ya sehemu hiyo kama tulivyo ambia na watu ilikuwa sio nzuri kwa watu weusi maana kulikuwa wazungu tu na watu weusi wengi walikuwa wanakimbia sehemu hiyo kutokana na matatizo ya kubaguliwa na wafanya kazi wenzao
( wale wasimamizi wenyewe hawanaga ubaguzi ubaguzi upo kwa wafanya kazi)

Sisi tukajiamini na kusema na liwalo na liwe sisi ndo tutakuwa watu weusi wa kwanza kufanya kazi apo na hakuna kitakacho tukuta

Eee bwana ile siku ya kwanza sisi kutambulishwa tu tulianza kuona sura za wafanyakazi wenzetu kununa lakini sio wote baadhi
Na baada ya apo ni ubaguzi wawazi wazi ndo tulikuwa tuna onyeshwa na baadhi ya wafanya kazi wenzetu
Marafiki zangu walikuwa wanabebana kila siku na baadhi ya watu fulani mule ndani ya kiwanda tulijaribu kupeleka malalamiko yetu ofisini kule lakini hakuna kilicho badirika
Mwisho wale marafiki zangu walishindwa na kazi wakaacha nikabaki peke yangu
Mimi sikukata tamaa nilipambana na kazi
Licha ya kuonyeshwa ubaguzi kutukanwa kwa mafumbo kuchekwa sikuwahi kujibu mtu yeyote wala kuongeya chochote kwao

Mwishowe walishindwa wenyewe kuona wanamuwekea ubaguzi mtu asiye jali na nilijituma saana ndani ya kazi kwa ile nafasi ndogo ambayo walikuwa wana nipa
Chuki zao zidi yangu zikabadirika upendo
Mpaka wakafikia hatua ya kuniita( enfant sage Yaani Mtoto mwenye hekima

Wakati mwingine tumia hekima yako kuliko jeuri
Najua inauma saana lakini don't care
Malipo ya kazi yako au hekima yako. Itawajibu wapumbavu
Inataka moyo sema ni bonge la funzo
 
Funzo mkuu hilo!! Kingine ulijua nn kilikupeleka nyingine ni kelele za chura tu dhidi ya tembo fanya kazi achana na wengine ukimaliza sepa kimtindo ndo heshima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom