Hekima na busara za kiti cha spika

Mwanakanenge

Member
Nov 25, 2012
75
17
Habari wana jukwaa,
Katika bunge lililopita kulikuwa na malalamiko juu ya maamuzi ya kiti cha spika hususani kupendelea wabunge wa chama tawala na kuwabana wale wa vyama vya upinzani ndani a bunge la jamhuri la muungano,hivyo basi hekima na busara za spika kutumia kiti chake kwa haki kitalifanya bunge kufanya kazi yako bila manung'uniko toka kwa wabunge wa vyama vyote lengo kuu ni kuwatumikia watanzania na kuijenga nchi yetu.
Mungu ibariki tanzania,mungu ibariki afrika
Hekima na busara za kitu cha spika zidumu!
 
Back
Top Bottom