Hekima imuongoze rais katika hili

Hekima imuongoze rais katika hili

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.

Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.

Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:

Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?

Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?

Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.

Na hilo ndilo neno la Bwana.
 
Amina.
 
Majizi ya ccm yakotayari kuua hata robo tatu ya watanzania ila siyo kutoka madarakani
 
Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.

Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.

Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:

Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?

Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?

Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.

Na hilo ndilo neno la Bwana.
Hatuhitaji huruma ya mtu
Tunataka katiba ifuatwe. Viongozi wetu wamezidi udicteta
 
Yanii ni mwendawazimu tu anayeweza kuita time ya uchaguzi ya nchi hiii eti ni huru. Yaani ramadhani mpiga puri na Omary wawe huru kweli
 
Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.

Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.

Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:

Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?

Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?

Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.

Na hilo ndilo neno la Bwana.
Simbachawene amewaangusha sana wenzake. Kitendo cha kusema muda hautoshi maana yake amehalalisha yale madai yote. Halafu wataulizwa muda hautoshi kwani madai ni ya leo au jana? Kiufupi amejikoroga.
 
Wewe na huyu mlivyo:
Kuna global online kuhusu kesi moja ya kijana kufa miezi hii kituo cha polisi wakadai kutoroka chumba cha mahabusu na kwenda ofisi za mpelelezi na kukuta kisu ambacho ofisini wanatumia kukatia maparachichi ofisini.

Alipo ulizwa muriro alidai hiyo kesi ni ya zamani sana tokea mwaka jana .

IMG_1191.jpeg
 
Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.

Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.

Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:

Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?

Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?

Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.

Na hilo ndilo neno la Bwana.
Gentleman,
Tangu aingie rasmi madarakani, Rais na kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan, anaongoza nchi kwa Neema na Baraka za Mungu na wananchi wa Tanazania kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanazania,

haongozi nchi kwa ujanja wake au kwa kulazimishwa na kelele za mayowe ya vibaka waropokaji na matapeli wa kisiasa wenye matakwa yao binafsi na vyama vyao bila kujali maslahi mapana ya Taifa, na ndio maana nia na dhamira yake njema iko wazi sana kwa waTanzania.

Ameliunganisha taifa kwa maridhiano kwa kutumia falsafa ya 4Rs, na ameifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu.

Dr Samia Suluhu Hassan haitaji aina yoyote ya ushirikina kuongoza nchi, ispokua Neema na Baraka za Mungu, katiba na ridhaa ya waTanzania 🐒
 
Wewe na huyu mlivyo:
Kuna global online kuhusu kesi moja ya kijana kufa miezi hii kituo cha polisi wakadai kutoroka chumba cha mahabusu na kwenda ofisi za mpelelezi na kukuta kisu ambacho ofisini wanatumia kukatia maparachichi ofisini.

Alipo ulizwa muriro alidai hiyo kesi ni ya zamani sana tokea mwaka jana .

View attachment 3308763
Futuhi
 
Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.

Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.

Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:

Katika akili za kawaida kabisa, inawezekana je watoa maamuzi ya uchaguzi wakawa watu wanaoteuliwa na mmoja wa wagombea? Alafu watakacho tangaza hakiwezi kuojiwa mahakamani?

Kanuni hii ni kwa faida ya nani? Kwa nini CCM msikubali FAIR ELECTION PROCESS ambayo itakuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Au kwenu nyie ni lazima mshinde kwa namna yoyote ile?

Sio sawa. Tunahitaji viongozi watakaoshinda uchaguzi kwa haki. Vinginevyo Watanzania wote tuitakiao mema nchi hii tumuombe Mungu kwa sauti moja atuondolee hii kero pia kwani ni yeye pekee maaamuzi yake hayaojiwi popote pale.

Na hilo ndilo neno la Bwana.
Kweli kabisa hata mtoto mchanga anaweza kuona logic hapa.
 
Hawawezi kukubali kitu ambacho kitawatoa madarakani.

Labda kuna sehemu watanzania hatuelewi, hakuna ambae anaacha asali kizembe, CCM hawawezi kuachia nchi kijinga jinga, tena kwa watu wajinga wajinga kama sisi watanzania, mabingwa wa kupiga kelel mitandaoni
 
Back
Top Bottom