Timu inafungwa na Mlandege afu wanaitaka Yanga?TAREHE 7/01/2024
" Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya kutuzuia...."
TAREHE 13/01/2024
"Mechi tumecheza vizuri sana ila katika maisha kumbuka kitu kiitwacho bahati ....
Tumetengeneza nafasi nyingi tumeshindwa kuzitumia wapinzani wamepata nafasi na kuitumia vizuri
Lengo kuu katika mapinduzi ilikuwa kutengeneza kikosi na mpaka sasa kocha wetu kashapata jibu wapi ataanzia .....
Sisi kupoteza mapinduzi sio kitu cha maumivu kwetu sababu lengo letu ni kuboresha kikosi chetu na mpaka sasa tumeona kikosi chetu kilivyo bora......
Tukutane NBC
Tukutane Champion league
Tukutane Azam confederation cup
Mtaelewa nini tulifata Zanzibar [emoji123][emoji123]"
Toka mlandegeMnaumia toka wapi??unataka awaeambie mnavyovipenda??
Anawachezea mashabiki wa simba anavyotaka,amewafanya madundukaMnaumia toka wapi??unataka awaaambie mnavyovipenda??
Shida kubwa NlomoooTAREHE 7/01/2024
" Kitendo Cha Young Africans kutolewa kimetuu sana Simba, maana tulitaka kuwafanyia unyama, tulitaka kufanya unyanyasaji wa kijinsia. Simba ndio timu Bora na Hakuna timu ya kutuzuia...."
TAREHE 13/01/2024
"Mechi tumecheza vizuri sana ila katika maisha kumbuka kitu kiitwacho bahati ....
Tumetengeneza nafasi nyingi tumeshindwa kuzitumia wapinzani wamepata nafasi na kuitumia vizuri
Lengo kuu katika mapinduzi ilikuwa kutengeneza kikosi na mpaka sasa kocha wetu kashapata jibu wapi ataanzia .....
Sisi kupoteza mapinduzi sio kitu cha maumivu kwetu sababu lengo letu ni kuboresha kikosi chetu na mpaka sasa tumeona kikosi chetu kilivyo bora......
Tukutane NBC
Tukutane Champion league
Tukutane Azam confederation cup
Mtaelewa nini tulifata Zanzibar 💪💪"
Kaeni na kuku kishingo wenu..sisi kama mashabiki tunamkubali sanaaa..Anawachezea mashabiki wa simba anavyotaka,amewafanya madunduka
Inashangaza sana...Ahmed akazie hapo hapo...Mtu anaajiriwa kupiga domo...ajabu kuna watu wanakuwa triggered
Simba kuliwa na ndege aibu iliyoje🤣
Kwahiyo akiongea ujinga ndio anakula?.Asipoongea atakula nini?
MuulizeKwahiyo akiongea ujinga ndio anakula?.
Muulize
Kazi yake kubwa ni kubwabwaja tu sasa unadhani ataongea nini cha maana huyo?Nakuuliza wewe naona umejibu kwa niaba yake!!, Vipi anakula kwakuongea huo ujinga?.