Heightism ni aina mpya ya ubaguzi

ufupi ni shida,mi mwanamke hata awe mzuri vipi akiwa mfupi hata sihangaiki kumtongoza. Pili mpenz wangu au nikija kuoa kisha mke wangu atembee na mwanaume mfupi nikajua namuacha ila mrefu naweza kumsamehe

duh! hii kali ya mwaka
 
Am so proud of my height. Niku mkumbatia wangu muhibu huwa naona furaha yake. Urefu raha jamani tena ikiwepo na pesa ya kubadilisha dinner kwenye out za maana we acha tu. She's always happy. Siku zote kichwa chake hukilaza kifuani. Na kuanza kusema shida zake weew basi mwanaume najiona... weeeeews napenda height yangu na mwili wangu kwa ujumla. Tulizike na vile tulivyo wapendwa
 
Sheria ya mapenzi huwa haina ubaguzi, acheni watu wapende kutokana na vigezo vyao

Wewe kama ni mfupi, yupo atayekupenda hivyo ulivyo wala usiweweseke maana hukupenda wewe

 
Ni kweli kuna uhusiano wa tabia na vimo ijapapokuwa si wote. Kwa upande wangu mimi watu niliowahi ishi nao na jamii inayonizunguka kusema ukweli watu wafupi ni wasumbufu wajanja wajanja waongeaji wengine watukutu basi ilimradi wana vitabia fulani tu ambavyo ni kero kwa wenzao. Sijamaanisha wote wapo hivyo ila baadhi yao hususani wale niliowahi ishi nao.Warefu wengi sio ma complicator sio wabishi na huwa hawapendi kuzozana afu wengi wanazalau sana. Wafupi huwa wanajishtukia sana kwamba wanazalauliwa mara nyingi wamekaa mkao wa kujidefend tu. Hata kama watu hawajaonyesha dharau yeye basi anajikweza
 
He he hehhe.. Naona umejimilikisha my dady ghafla kawa shemu wako... Makubwaaaaaaaa..... Mwanaume urefu bana alaaaaaah

Dady wangu sio mfupi plz

heheheh!! mama yako measkron kaniambia nishee nae. uwe na adabu wewe mtoto, unataka laana ya mama wa kambo eeh? halafu aleji yako na watu wafupi haijaisha tu?
 
Last edited by a moderator:
mhh km kna sie tulojaliwaa urefu jmn,ukipenda mwanaume mfupi kwako ni mtihanii...
 
Kila jini na mbuyu wake hayo mengine ni maneno ya udaku.
 
Kuna mwanamke au mwanaume mfupi aliyekosa mwenza tangu dunia imeumbwa?

Hakuna aliekosa, hapa twajadili madhila wapatayo tu hapa duniani, hahahhahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…