Siku hizi kumekuwa na ubaguzi wa kimo/height cha mtu yale ya rangi na dini yanapungua.
Wanaume kwa wanawake katika nyanja nyingi,Kazi,mapenzi,siasa,Urafiki,sanaa na michezo wamekuwa wakibagua na kubaguliwa.
Mapenzi;Mfano humu utasikia natafuta me/ke lakini awe na urefu wa .....
Jeshi pia kimo nacho kigezo.
Sanaa;wafupi ndio wachekeshaji na kukejeliwa.Dwarfs at circus.
Siasa wanachagua warefu wakidhani ndio viongozi bora.Mkapa was short but I like him.
Kwa hiyo watu wamekuwa na insecurities kwa sababu ya kimo.
Anyway mi nina 5.6ft.Kwa wale wanaojiona wafupi wajiamini.
Mifano ya watu maarufu wafupi.Mg.A.H.Mwinyi,B.W.Mkapa,Joti,Steve Nyerere,Aunt Ezekiel,Lulu Michael,salama jabir,calvin Hart,Aki na ukwa,Jack chan,harry potter,Messi,Most of Chinese people.
Ila diamond platnum alikuwa mfupi kwa adebayor sina picha bahati mbaya.
Stop Heightism.
Urefu ni dili sana hasa kwa akina dada
Ufupi nyundo ni janga la kitaifa.
Mshukuru Mungu kama una kimo kizuri
Ukiwa short chasis basi ni ubishi na utata kwa kwenda mbele
Sheria ya mapenzi huwa haina ubaguzi, acheni watu wapende kutokana na vigezo vyao
Wewe kama ni mfupi, yupo atayekupenda hivyo ulivyo wala usiweweseke maana hukupenda wewe
Ni kweli kuna aina ya kazi huwezi pata kama mfupi..hata kwenye vyombo vingi vya habari ukiwa mfupi ujue una kitu peculiar..mfano..chunguza presenters wa Eatv na hata Star Tv utagundua kitu na hata presenters wa kimataifa..sasa wewe mtu kama steve nyerere asipowekwa kituko unataka acheze awe JAMBAZI?
Poleni vijeba!
nahisi wanataka wapendwe na kila mwanamke. ukipendwa na mmoja na huo ufupi wako inatosha. au sio shemeji? hivi shem wewe ni mfupi au mrefu?
nahisi wanataka wapendwe na kila mwanamke. ukipendwa na mmoja na huo ufupi wako inatosha. au sio shemeji? hivi shem wewe ni mfupi au mrefu?
He he hehhe.. Naona umejimilikisha my dady ghafla kawa shemu wako... Makubwaaaaaaaa..... Mwanaume urefu bana alaaaaaah
Dady wangu sio mfupi plz
Naomba tutaje faida za vijemba tafadhali.
Nina amini zipo kadhaa.
Hawawezi kuwa reject product kwa asilimia mia