Heheheeee!!! Kudadadadeki!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
2,001
Watu wengine bwana!!
Eti unakuta mtu ni member humu,afu anajifanya mod!!
Nitamgeuza mtu panya sasa hivi,ohooo!!
 
Haya bwana we chezea tu ma mod ulambe Ban, kwani askali wote huvaa magwanda?
 
Mkwara umekaa kama wa 'leka dutigite'...
 
Hivi umetoka lini jela ya BAN...???kama memory yangu iko sawa nakumbuka ulikua BANNed recently...
 
Hivi umetoka lini jela ya BAN...???kama memory yangu iko sawa nakumbuka ulikua BANNed recently...

hata mimi najiuliza. Kumbukumbu zinaonionesha kuwa alipigwa ban baada ya kumsababishia Judgement!
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine bwana!!
Eti unakuta mtu ni member humu,afu anajifanya mod!!
Nitamgeuza mtu panya sasa hivi,ohooo!!
Hehehe! Na mie nna wa kwangu nataka unisaidie kumgeuza panya pia manake amezidi umbea na kuzulia watu humu! Natamani kumgeuza panya sema sina huo uwezo.... Ni mtu mzima sema hovyooooo! Anajijua nikilewa nakuja kumwanika hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…