heee timu ya Ngasa ya bamizwa 7-0! Na manchester utd.

heee timu ya Ngasa ya bamizwa 7-0! Na manchester utd.

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,891
ile timu,ambayo mlisho ngasa amekwenda kufanya majaribio,imefungwa bao 7-0,ingawa alikuwa anajisifu kuwa mechi hiyo watamjua yeye ni nani!imekuwaje?
 
Watamjua yeye nani kivipi,kwani katika mafootballer Ngasa naye yupo??
 
Duh! Inawezekana bila yeye yangekuwa 10. Nasikia aliingia the last 15 min. Si haba
 
Source please......................nani wamefunga magoli?
 
Rooney kafunga 4, park, OBATAN, na yule dogo wa Senegal.

Wacha urongo wewe, Owen goli la kwanza, Diouf la pili, Rooney 3, 4, Park la 5, Rooney la 6 (hatrick) na Obatan la 7....

Ngasa aliingia dk ya 76..... na alikosa goli la wazi, akiwa na nyavu akapaisha under pressure from Rio
 
dogo akaona mtu mzima RIO anamfuata(sijui alimpigia makelele yule?!)si akapaisha bana,badala ya kupasia nyavuni tu!
 
mpeni sifa ngassa jamani japo amepiga picha na kina wayne rooney..
 
Physic yake haifai hata kuwa muokota mipira uwanjani!
 
Back
Top Bottom