Hee, kumbe CHADEMA walikuwa wamefika mbali ee?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kumbe walikuwa tayari wako nchi nzima, yaani sasa wanavyomong'onyoka ndo nimeanza kujua kwamba kumbe walikuwa wameshafika mbali, kwa jinsi Madiwani na Viongozi wao wanavyojiuzulu nchi nzima, ...
 
Kumbe walikuwa tayari wako nchi nzima, yaani sasa wanavyomong'onyoka ndo nimeanzakujua kwamba kumbe walikuwa wameshafika mbali, kwa jinsi Madiwani na Viongozi wao wanavyojiuzulu nchi nzima, ...
Hizo ni baraka
 
Ni matumizi ya trilioni 1.5 yanaendelea.
Ndio ukweli huo Mkuu..

Mpaka leo [HASHTAG]#jizi[/HASHTAG] hajasema 1.5Tril zipo wapi..

Halafu katika mambo yanayosikitisha ni akili na ufahamu wa wana CCM wengi..

They are suffering from "Brain Malnutrition"..

Kama kutokuwepo kwa CHADEMA kungesaidia kuleta maji kwa wananchi, Madawa hospitali, Barabara za lami, huduma bora kwa wananchi kwenye sehemu mbalimbali serikalini zingekuwa bora, pembejeo za Kilimo zingekuwa bei bora, yani kwa ujumla kutokuwepo kwa CHADEMA kungeleta nafuu kwa maisha ya Mtanzania; bora CHADEMA INGEFIA mbali hata leo.
Lakini wapi.

Tena baadhi ya mambo mengi bora yaliyopo Tanzania yamekuwa mazuri japo kwa uchache wake kutokana na Wabunge wa CHADEMA kupiga kelele..

Ona hili la kukwapuliwa kwa 1.5Tril Kodi za Watanzania, CHADEMA wapo na kelele zote wanazopiga amekwapua hizo, ingekuwa ipo CCM peke yake si angeiba 5Tril kabisa..!!

Maana huyu jamaa anavyowadharau CCM wenzake mpaka inatia huruma..

CHADEMA ndio inayomfanya jamaa asipate usingizi na asizidi kuidumbukiza Nchi kwenye shimo zaidi maana hakuna la ovyo analofanya CHADEMA wanakaa kimya.
 
Kwanza hili la 1.5t halikuzinduliwa na chadema, aliyezungumzia ni Act Zitto, pili ukweli mi kuwa hakuna hata senti iliyochukuliwa, bali ni usembe wa wizara ya fedha kujiandikia makusanyo ya uongo.

Mimi siungi mkono kuikandamiza chadema, kwani upinzani ni muhimu sana kwenye nchi, na unasaidia sana. Atakayesema upinzani haukuisaidi nchi ni muongo na hana aibu.

Chadema haifi kwa sababu ya kukandamizwa tuu, bali kubwa zaidi ni sababu ya uongozi mbaya na kubadilisha gia angani, leo chadema haiwathamini viongozi wao vijana kama hapo awali. Chadema kimekuwa chama cha kupendeleana na ufisadi.

Chadema lazima ijichambue na ije na mikakati mizuri, bado inahitajika na itazidi kuhitajika.

Ndugu Salary slip kama kweli una nia nzuri na chama chako, kwanza ungeanza kuyakaripia madudu yenu ndani ya chama, ili chama chako kirudi kwenye msimamo wake wa awali. Leo wewe watukana kwa wenzako na kwako kwanuka.
 
mkuu haijalishi ni nani kasema iwe act au chadema, pili unasema hakuna hela iliopotea huku ukikiri uzembe wa wizara ya fedha kujiandikia makusanyo ya uongo, sasa wewe unaanini katika nini?
 
"Chadema kimekuwa chama cha kupendeleana na ufisadi"
1. Mkuu chadema wamefisidi nini? Ni ufisadi gani wamefanya ndani ya serikali na ndani ya nchi?
2. Vipi nani kapendelewa kwa nafasi gani na kapendelewa dhidi ya nani?
 
mkuu haijalishi ni nani kasema iwe act au chadema, pili unasema hakuna hela iliopotea huku ukikiri uzembe wa wizara ya fedha kujiandikia makusanyo ya uongo, sasa wewe unaanini katika nini?
Ndugu inajalisha, kwani kazi afanye juma malipo alipwe frederick, haiwezikani. Ninaamini hakuna pesa iliyochotwa lakini awamu hii mawaziri wako tayari kujikomba kwa kila namna, na mwishowe ni kutuletea shida sote na kumuuaibisha Raisi.

Hili la 1.5t linajulikana sana na liko wazi
 
Back
Top Bottom