Savi B Tighter Member Joined Oct 23, 2016 Posts 23 Reaction score 10 Nov 23, 2016 #1 Habari za majukumu wa ndugu. Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2. Naomba ushauli wa kitabibu
Habari za majukumu wa ndugu. Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2. Naomba ushauli wa kitabibu
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Nov 23, 2016 #2 Savi B Tighter said: Habari za majukumu wa ndugu.. Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2 Naomba ushauli wa kitabibu Click to expand... Mzunguko mfupi kabisa ni siku 21...... Je mke anatumia njia zozote za uzazi wa mpango????? Aende hospitali
Savi B Tighter said: Habari za majukumu wa ndugu.. Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2 Naomba ushauli wa kitabibu Click to expand... Mzunguko mfupi kabisa ni siku 21...... Je mke anatumia njia zozote za uzazi wa mpango????? Aende hospitali
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,150 Reaction score 137,150 Nov 23, 2016 #3 Savi B Tighter said: Habari za majukumu wa ndugu.. Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2 Naomba ushauli wa kitabibu Click to expand... Umeishia darasa la ngapi wewe?
Savi B Tighter said: Habari za majukumu wa ndugu.. Naomba kujua kuhusu kujiludia ludia kwa hedhi kwa kina dada Maana mke wangu nw n miezi miwl siku zake ndani ya mwezi mmoja anapata mara 2 Naomba ushauli wa kitabibu Click to expand... Umeishia darasa la ngapi wewe?
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,326 Reaction score 7,522 Nov 23, 2016 #4 Nyani Ngabu said: Umeishia darasa la ngapi wewe? Click to expand...
Savi B Tighter Member Joined Oct 23, 2016 Posts 23 Reaction score 10 Nov 23, 2016 Thread starter #5 Dr. Sanga said: Click to expand... 4m 6 aca
Savi B Tighter Member Joined Oct 23, 2016 Posts 23 Reaction score 10 Nov 23, 2016 Thread starter #6 BADILI TABIA said: Mzunguko mfupi kabisa ni siku 21...... Je mke anatumia njia zozote za uzazi wa mpango????? Aende hospitali Click to expand... Apana atumii
BADILI TABIA said: Mzunguko mfupi kabisa ni siku 21...... Je mke anatumia njia zozote za uzazi wa mpango????? Aende hospitali Click to expand... Apana atumii
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,326 Reaction score 7,522 Nov 23, 2016 #7 Savi B Tighter said: 4m 6 aca Click to expand... Tofautisha matumizi ya l na r.
Savi B Tighter Member Joined Oct 23, 2016 Posts 23 Reaction score 10 Nov 23, 2016 Thread starter #8 Dr. Sanga said: Tofautisha matumizi ya l na r. Click to expand... Kikubwa uelewe km aujaelewe pta co lazma jbu lako
Dr. Sanga said: Tofautisha matumizi ya l na r. Click to expand... Kikubwa uelewe km aujaelewe pta co lazma jbu lako