GE2025 Heche: Wasanii hawatuungi mkono CHADEMA sababu ya hofu

GE2025 Heche: Wasanii hawatuungi mkono CHADEMA sababu ya hofu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Sio kwamba hakuna wasanii wanaoipenda CHADEMA au watu maarufu wanaoipenda CHADEMA ila wametawaliwa na hofu" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA.
 
Sampling
Katika Watu 10
Watu nane wanazipenda sera za CHADEMA
Waliobaki hizo asilimia mbili CCM wanagawana na vyama vingine
 
Sampling
Katika Watu 10
Watu nane wanazipenda sera za CHADEMA
Waliobaki hizo asilimia mbili CCM wanagawana na vyama vingine
Sera gani ya Chadema inayopendwa? Au unamaanisha sera ya kususia uchaguzi?
 
Back
Top Bottom