Hapo ni kuchanganya maada. kwanini watanzania tusijifunze kufuata ratiba? je ratiba ya kukutana BAVICHA ilikuwepo?. Kama haikuwepo sioni kosa lake.

'NI AIBU SANA KWA SISI BAVICHA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU, MWENYEKITI TANGU AMEKUJA TANGA KWENYE ZIARA HII HAJAWAHI KUOMBA HATA KUONANA NA UONGOZI WA BAVICHA TANGA, HAKUNA HAJA YA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU' ni maelezo ya katibu wa bavicha tanga walipokuwa kwenye kikao cha tathimini ya kuhitimisha mikutano ya ziara ambayo naibu katibu mkuu wa cdm Zito kabwe alikuja na kundi la vina hao, heche, mwampamba, juliana n.k
baada ya kutupiwa lawama hizo za kweli na zinazoonyesha udhaifu wake, heche alisimama na kuaminisha watu jinsi alivyodhaifu kwani alijibu kwa kupanic na kusema matatizo ya bavicha wilaya tanga sio yake bali ni ya mwenyekiti bavicha wa mkoa, pia akasema hakuwa tanga kwa ajili ya bavicha.
heche anaejiita IGWA ni hasara, baada ya yeye kuondoka wanatanga viongozi na wazee washauri walisema hakuna haja ya kutegemea ushauri kwa kijana kama yule.
Wewe ni ndugu yake Kim Kardash na Tumtemeke ambao mnaposti ujinga hapa ujinga kila siku.Kubalini kushindwa uchaguzi mjaribu bahati yenu wakati mwingine.Kushindwa kweni uenyekiti Bavicha na Heche akashinda isiwe balaa.Tukubali demokrasia
wewe ni nani au ndo umetoka kwa kameruni leo? mbona akili zako za kimervi sana, ngoja wakusikie wakupandie
kutukana kwako kunakuvua nguo kukuonyesha ulivyo na dhamira yako ovu ilivyo.sisi wote unafahamu sana tulikuwa tunagombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi ule wa bavicha.wote tulishindwa.mbona nyie hamkubali matokeo na kumwachia mwenzetu afanye kazi? Majungu hayatatufikisha popote.heche usijali songa mbele uchaguzi bavicha ulishamalizika.tunakuunga mkono.asiyekubali kushindwa si mshindani.
nafikiri wanachadema tujenge chama baada ya kuangaliana boriti iliyo kwenye mboni zetu. Heche anafaa, ndo maana alichaguliwa kuwa m/kiti wa bavicha taifa. La sivyo, tusubiri uchaguzi mwingine. Chadema daima, mbele daima
'NI AIBU SANA KWA SISI BAVICHA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU, MWENYEKITI TANGU AMEKUJA TANGA KWENYE ZIARA HII HAJAWAHI KUOMBA HATA KUONANA NA UONGOZI WA BAVICHA TANGA, HAKUNA HAJA YA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU' ni maelezo ya katibu wa bavicha tanga walipokuwa kwenye kikao cha tathimini ya kuhitimisha mikutano ya ziara ambayo naibu katibu mkuu wa cdm Zito kabwe alikuja na kundi la vina hao, heche, mwampamba, juliana n.k
baada ya kutupiwa lawama hizo za kweli na zinazoonyesha udhaifu wake, heche alisimama na kuaminisha watu jinsi alivyodhaifu kwani alijibu kwa kupanic na kusema matatizo ya bavicha wilaya tanga sio yake bali ni ya mwenyekiti bavicha wa mkoa, pia akasema hakuwa tanga kwa ajili ya bavicha.
heche anaejiita IGWA ni hasara, baada ya yeye kuondoka wanatanga viongozi na wazee washauri walisema hakuna haja ya kutegemea ushauri kwa kijana kama yule.
Wewe hata Heche anye jukwaani bado utamtetea.unaonekana dhahiri una chuki binafsi na heche,na umeandika kumkomoa na wala sio kumbadilisha.vijana kama nyie ni hatari ndani ya chadema,heche alionekana anafaa kati ya wote ndo maana akachaguliwa yeye na sio wewe.tujenge chama acha majungu!!
Huna akili we! Hii haja kubwa ndo unaileta jamvini tuijadili? Pambaf toa nyesi lako haraka! Jini we!'NI AIBU SANA KWA SISI BAVICHA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU, MWENYEKITI TANGU AMEKUJA TANGA KWENYE ZIARA HII HAJAWAHI KUOMBA HATA KUONANA NA UONGOZI WA BAVICHA TANGA, HAKUNA HAJA YA KUWA NA MWENYEKITI KAMA HUYU' ni maelezo ya katibu wa bavicha tanga walipokuwa kwenye kikao cha tathimini ya kuhitimisha mikutano ya ziara ambayo naibu katibu mkuu wa cdm Zito kabwe alikuja na kundi la vina hao, heche, mwampamba, juliana n.k
baada ya kutupiwa lawama hizo za kweli na zinazoonyesha udhaifu wake, heche alisimama na kuaminisha watu jinsi alivyodhaifu kwani alijibu kwa kupanic na kusema matatizo ya bavicha wilaya tanga sio yake bali ni ya mwenyekiti bavicha wa mkoa, pia akasema hakuwa tanga kwa ajili ya bavicha.
heche anaejiita IGWA ni hasara, baada ya yeye kuondoka wanatanga viongozi na wazee washauri walisema hakuna haja ya kutegemea ushauri kwa kijana kama yule.
wewe ni nani au ndo umetoka kwa kameruni leo? mbona akili zako za kimervi sana, ngoja wakusikie wakupandie
Wewe hata Heche anye jukwaani bado utamtetea.