Beautifulgirl
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 300
- 265
Jamani nasikia wanafunzi wanaojiunga vyuo vya diploma ya ualim wanatakiwa kujihudumia chakula kwa pesa yao.wenye kujua naomba msaada wa katika hili.
Nilidhani ni mwanachuoSio kweli...Nipo jirani na chuo cha serikali ila sijasikia hicho kitu.